Natafuta fundi wa laptop,screen imepasuka...naomba anipm au aweke namba hapa nimtafute

Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Ukisema tu samsung hapo unakuwa unaleta utata tu. Sema ni samsung model au toleo lipi na je wewe mwenyewe unapatikana wapi?
 

Subbi

Senior Member
May 3, 2013
119
195
hello. wapi naweza kupata top casing (ille housing inayoshika screen) ya dell studio 1537
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom