Natafuta fundi wa gari Honda

Mabagala

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,477
325
Natafuta fundi wa kunitengenezea gari yangu aina ya honda pale itakapokuwacinaleta shida. Ni vizuri akipatikana hapa hapa dar es salaam. Gari ni honda stream. Naombeni msaada wenu.
 
Mcheki Mr.Julius mtaalamu wa hiyo mambo - 0758 581819 mwambie nimepewa na Donald.
 
Natafuta fundi wa kunitengenezea gari yangu aina ya honda pale itakapokuwacinaleta shida. Ni vizuri akipatikana hapa hapa dar es salaam. Gari ni honda stream. Naombeni msaada wenu.
Uza haraKa hiyo gar??
Nunuwe gar za heshima cyo Hicho kihonda old model
 
Back
Top Bottom