sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,434
- 5,088
Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana,
Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake