Natafuta fundi umeme na Fundi rangi wanipe somo

Stanley Mims

Member
Aug 29, 2020
47
86
Awali ya yote nipende kutoa shukurani kwa wataalamu mbali mbali wanakchangia mawazo yao humu majukwaani ili nasi wenye changamoto za kutaka kujifunza zaidi, tujifunze.


Naomba kuweka wazi kuwa, lengo langu la kutafuta fundi umeme ni kujifunza shughuli nzima za wiring kwenye nyumba, mimi n muumini wa uzoefu kuliko taaluma za nadharia. Fundi nimtakaye nataka awe na kibarua, ambapo nitakuwa nakula somo kwake kwa namna anavyofanya wiring kisha nitamlipa posho, mwanzo mpaka mwisho wa kufanya zoezi zima.

Al, kadhalika kwa fundi rangi, hapa namaanisha rangi za majumbani, maofisini na hata zile za mageti.


Ahsanteni, na karibuni sana.
 
Nafurahi sana nikiona DIY imeanza kutuingia vzr kichwani.

Big up sana kwako mtoa mada.
 
Nikiwa fundi rangi professional,ni kitu gani unataka kujua kwenye finishing ya rangi naweza kukusaidia

Ningependa iwe kama session, yaani niwe najifunza kutokea kwenye kazi yako utakayokuwa nayo, ikiwemo na field work hapo hapo
 
Back
Top Bottom