Natafuta fundi mzuri wa tiles | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta fundi mzuri wa tiles

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kiruavunjo, Apr 27, 2012.

 1. k

  kiruavunjo Senior Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama uko moshi na unajua kuweka tillies pia kama unajua upanzi wa maua wa kisasa ni pm tafadhali.
   
 2. s

  soledad Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  kuna fundi yupo dar but anajua sana kuweka tiles anaweza kuja huko namba yake 0713 72 20 51, huwa anasafiri mikoa mbalimbali kwasababu watu wanakubali kazi zake anaitwa Deo mtafute.
   
 3. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mgongee huyu ni mkali alafu yuko cheap, 0762006129 na huyu pia 0762503053
   
 4. satelite

  satelite JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  mimi niko mza, ars nimejenga tiles chuo cha mandela, palas hotel mkabala na ofc ya mkuu wa mkoa ea hotel kibo palas nk namba yangu ni 0756777672,0789037812
   
 5. petrinamwana

  petrinamwana JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  da!! jana nimeangaika kweli kutafuta fundi dar leo nimepata huyu fundi anafanya kazi hata sijui ni mzuri au vip naingia humu naona minamba kibao
   
 6. Holili

  Holili Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Fundi mzuri wa tiles yuko hapa Moshi na bei yake ni nzuri. Jina lake ni Kimwaga anaishi Majengo. Licha ya tiles anafanya kazi ya terazo pia. Mpigie kwa namba 0656439110 na 0755732638.
   
 7. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 449
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Bei elekezi ni hii hapa usiumizwe na fundi, per sqm mlipe hela isiyozidi 3,500/=
   
 8. s

  simon james JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasiliana na Ngoswe 0756021596 nifundi mzuri yupo tengeru Arusha
   
 9. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2018
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa nimemchukua ila kusema ukweli sio fundi mzuri kabisa, "NARUDIA TENA SIO FUNDI MZURI"
  Nilimpatia hapa hapa nikasema ngoja nijaribu nika mpa room 2 choo na bafu., asee najuta sana.
  Kwenye vyumba kuna mabonde na milima, kwenye vyoo na bafuni(yaani koote) maji yana tuama, tiles chafu zina cement imegandia, mikanda ndio pasua, kwingine ime pinda, kwingine kajaza cement kidogo kuna mashimo zaidi ni "NI MCHAFU SAAAAAAAAAAANA" Ukuta nilio skimming utadhani watoto walikuwa wanachezea, yupo rafu saana.

  Zaidi hajui kushauri tiles zipi ni mzuri na ni mfunyaji saaana, tiles zikibaki vipisi vinavyoweza kutosha sehemu hataki kutumia anataka ukanunue box nyingine.
  Nita upload picha za kazi alionifanyia ni hasara tuupu.
  Ukitaka kuja kuona kazi yake kabla sijarekibisha ni check 0715812160.
  Ni Hasara sana,
   
 10. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2018
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 604
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 180
  pole sana mkuu, najua maumivu yake maana mwezi uliopita nilienda Moshi kujengea kaburi la mtu wangu wa karibu sana, nikatafutiwa fundi pale Moshi, nikanunua materials, kazi iliyofanyika hapo ilikuwa mbovu sana nilikasirika sana kesho yake nikasepa..ila nmepanga nirudi mwezi huu na fundi wangu kutoka town akairudie ile kazi.
   
 11. I and myself

  I and myself Senior Member

  #11
  Jan 9, 2018
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
  0754660061 nitafute nikupe fundi wa tiles huta jutia nakwambia.. Na ukihitaji wa gypsum..welding usisite pia kunitafuta ni mafundi wanao eleweka wote na kazi zao zipo bomba sana
   
 12. NAREI

  NAREI JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2018
  Joined: Mar 10, 2017
  Messages: 1,060
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  Pole sana mkuu, wakati mwingine kumjua Fundi ni jambo la muhimu sana ingawa pia si rahisi labda upate mtu aliyewahi kufanyiwa nae kazi akupe ushuhuda.
  Binafsi kuna Fundi aliwahi kuniwekea tiles sebleni, vyumbani na kwenye kordo kwa kweli sijutii na ni very smart kwenye kazi yake.
   
 13. No Escape

  No Escape JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2018
  Joined: Mar 7, 2016
  Messages: 4,359
  Likes Received: 3,767
  Trophy Points: 280
  Sitafuti fundi tena humu,kuna jamaa kanikatisha tamaa hapo juu.
   
 14. NAREI

  NAREI JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2018
  Joined: Mar 10, 2017
  Messages: 1,060
  Likes Received: 871
  Trophy Points: 280
  1515532597292.jpg 1515532606675.jpg
   
 15. I and myself

  I and myself Senior Member

  #15
  Jan 10, 2018
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 45
 16. Hazchem plate

  Hazchem plate JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2018
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Ameacha space ya kawaida kwenye izo tiles. Ila angetumia zile jubwa za mterezo ambazo hukaa hasa sebuleni ingekuwa jau. Maana zile hazihitaji space kabisa. Ila kwa hapo yupi smart tuu
   
Loading...