Ziggler
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 378
- 127
Habari natafuta fundi umeme ila awe mjuzi wa vitu vingine pia kama vile maswala au mifumo ya plumbing, ufundi selemara (kurekebisha vitu kama loki za milango, madirisha ya aluminium).
Awe mwenye uzoefu na magorofa marefu na mifumo yake kama vile mfumo wa maji safi na maji taka na kadhalika.
Awe na lugha nzuri, mchapa kazi, asiwe mgumu kupokea maelekezo.
Awe mwenye uzoefu na magorofa marefu na mifumo yake kama vile mfumo wa maji safi na maji taka na kadhalika.
Awe na lugha nzuri, mchapa kazi, asiwe mgumu kupokea maelekezo.