Natafuta Fundi anayetengeneza mashine ya kukamua miwa

moe junior

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
894
854
Habari zenu wakuu! Nina machine Yangu ya kukamua miwa kwa ajili ya juice. Nina mambo mawili nataka kuifanyia
1) Inakula sana umeme kiasi kwamba inakuwa sio rafiki kibiashara
2) Nataka kurekebisha bodi lake liwe zuri kwa sababu lililopo linapiga kelele kiasi flan.
Kama kuna mtaalamu wa hizi mashine naomba ajitokeze tugawane rizki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom