Natafuta friends | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta friends

Discussion in 'Love Connect' started by DJ Imma, Jun 20, 2012.

 1. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  am boy 27yrs!! natafuta marafiki wa kike wa ku chat na kutembeleana:

  VIGEZO:

  awe mkweli na muwazi
  umri kuanzia 18-30
  awe ana shughuli maalumu, mfano:- kazi, biashara, au mwanafunzi
  sichagui kabila, dini wala muonekano
  asiwe nje ya dar (kama atakuwa nje ya dar awe anauwezo wa kuja dar muda wowote)
  asiwe mnafiki / mwenye majungu na mgombanishi
  asiwe mlevi wala mtuniaji wa sigara
  asiwe nje ya maadili ya kitanzania na asiwe na wapenzi zaidi ya 1 na kama n single girl asiwe anatanga tanga (malaya)

  aliye tayari anicheki kupitia
  emmanuelvitalis@tanzaniamail.c om
  dj.imma@yahoo.com
  djimma@hotmail.com
  mobile 0713 644485.
  land line 2128333
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Huku kitaani kwetu yupo ila anao wengi..labda kama uko radhi kushare
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kumbe bado ni boy....haya
   
 4. awp

  awp JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mmh na nyie vijana wa jf mna mambo, mmeshidwa kuimbisha mtaani?
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaaaa Vijana mihemuko imewazidi, yaani from no where kijana kaanika mpaka mawasiliano yake
  Halafu hapa kitaa kwangu kuna mademu kibao sana nao wapo wapweke, lakini wanakunywa pombe na we hutaki, sasa utapata wapi mtu asiye na dosari? kila la heri
   
 6. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Ameshasema hapo kwenye specifications anachotaka!
   
 7. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  coz ni friends ata akiwa nao 100 ni sawa tu!!
   
 8. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  dah, hii kali, umenichekesha sana mkuu.....unatisha!
   
 9. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  rafiki hatongozwe wewe ni wa wapi??
   
 10. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wewe una akili na ni muelewa saana!! ebu ni PM dada!!!
   
 11. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,819
  Trophy Points: 280
  Ningeku pm since siku ulipost ila umesema asiwe nje ya Dar, na mi nko nje ya Dar! So nimeshafeli automatically
   
 12. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  worry less! ni kweli huna kigezo moja wapo but kama hutajali kuchati pia ni urafiki!! you well came...........
   
Loading...