Natafuta Friend wa kuchat nae na baadae tuweze kuwa wachumba!

katokumbi

Senior Member
May 19, 2012
195
76
Natafuta Girlfriend ili baadae awe
mchumba na kama tukiwa fresh katika
uchumba wetu tuje kuoana, awe mweupe
urefu uwe 5.0 - 5.7, sichagui kabira but
awe na tabia nzuri, mcheshi wa kuongea
na watu na asiwe chini ya miaka 18 wala asizidi miaka 20, umri wangu ni miaka 22
mrefu 6.1 feet, mweusi na ni
mwembamba (Athletic Body) nimejiajiri!
 
Mh inferiority tu inakutesa, had unaanika namba za cm ambacho ni privacy yako.....otherwiz puberty z dangerous
 
Mpwaa wangu KATO KUMBI haujambo?

Vipi hali ya mama yako, hajambo? Kama mama yako ni mzima basi usisite kumwabia ya kwamba mjomba saudari anamsalimia.

Tangazo lako nimeliona ila sijapendezwa nale mjomba.
 
Uko wapi hahahah
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom