Natafuta fremu ya biashara ya kuuza spea za magari

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Hamjambo wana JF. Natafuta sehemu ya kuuza spea za magari kwa Dar es Salaam. Kama kuna mtu anajua fremu zinazopangishwa tafadhari naomba nijulishe.
 
Maeneo gani wewe uko interested nayo??? si kila sehemu utafanya Biashara ya Spea kaka ....................Kitunda, Geza ulole, Kwa Mfuga Mbwa ziko fremu za kutosha .......space kubwa, parking inakuwepo kwa nje, kodi ya mwezi ndogo ....Lakini je, Biashara ya Spea inafanyika?
 
Nataka maeneo ya tabata, kinondoni, ilala, Buguruni na Mwenge
 
nataka maeneo ya tabata, kinondoni, ilala, buguruni na mwenge

jaribu na kimara unajua wengi wanakimbilia uko sasa wewe unakuwa na yako mpya kaka unapunguza zile safari za watu wa kimara ubungo mbezi na nk ni muhimu kuwa na target marketing hongera sana mungu akupe ufunuo zaidi ndugu yangu...napenda mtu mjasiriamali
usibweteke na huo mshahara
 
Nashukuru kwa ushauri wako kwa kweli umenipa somo kubwa hapo
 
binafsi wiki ijayo naanza kupigana na samaki unakaribishwa ktk soko so far natafuta wa kunletea za jumla kwa bei nzuri
 
Back
Top Bottom