Natafuta Fremu Kiruvya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Fremu Kiruvya

Discussion in 'Matangazo madogo' started by payuka, Aug 27, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Natumai Wana JF Wote mu Wazima Wa afya:


  Natafuta Fremu Kwa Ajili Ya Biashara Kiruvya, Fremu iwe na sifa zifuatazo:
  1. Iwe Sehemu ya wazi barabarani ( Sehemu ambayo ni Visible)
  2. Iwe sehemu nzuri yenye kufikika na gari kubwa kama vile lori ( Yaani parking ya kutosha mbele ya fremu)
  3. Chumba kiwe na nafasi ya kutosha kwa nje
  4. Chumba kiwe kikubwa sq. metre
  5. Chumba kiwe na umeme wa Kujitegemea (Optional)
  6. Kuwe na Huduma za maji
  7. Chumba kiwe na Geti la nje imara
  8. Eneo liwe linapita watu wengi ( Busy area)
  Budget yangu ni Tshs. 30,000 - 50,000 kwa mwezi (inategemeana na fremu)

  Kama unayo sehemu au unamfahamu mtu anaeweza kunisaidia kwa hili tafadhali tuwasiliane kwa namba 068222333, au tumia develo45@gmail.com
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unatafuta Kiruvya ama hapa JF! Bandika matangazo huko, JF ina sura ya kimataifa zaidi
   
 3. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Asante Rev. Masanilo kwa msg yako yenye connotation nzuri....... at least umependezesha platform asante!
   
 4. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....ebu cheki na mtalaam FIDEL08 ...! atakuunganishia fasta! hapo juu baba mchungaji anahangover za upako.......!
   
 5. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  shukrani mkuu ngoja nimcheck huyo jamaa anisaidie!
   
Loading...