Natafuta frem ya biashara ya kuuza mapambo ya magari na spare zake kwa jiji la dar

kingjohn255

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
383
474
Habarini wakubwa natafuta frem ya kuuzia mapambo ya magari kwa jiji la dar es salaam, maeneo ambayo ningependelea nipate ni barabara ya bagamoyo yote kwa maana ya kuanzia moroko airtel hadi tegeta, barabara ya sinza kwa maana ya kuanzia shekilango hadi bamaga, barabara ya mwai kibaki kwa maana ya kuanzia makao makuu ya zantel hadi maringo, barabara ya msasani kwa maana ya kuanzia namanga hadi macho na mwisho barabara ya kinondoni makaburini kuanzia manyanya hadi stanbic bank kwa yeyote mwenye nayo maeneo hayo anitumie no pm namimi nitamtafuta kuja kuiona na kuilipia
Ahsant
 
Back
Top Bottom