Natafuta frem Kariakoo mtaa wa Congo.

Stanboy

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
1,115
1,300
Habari?
Natafuta frem Kariakoo mtaa wa Congo,yeyote anayeweza kusaidia kupatikana tuwasiliane pm haraka...ukifanikisha utalipwa posho.

Asante
 
Kuna jamaa nliona kafungiwa pale karibu na DDC, kuuliza kumbe anadaiwa 70Mill sijui na benki au TRA nimesahau hata, kajaribu pale ulizia vizuri
 
Kuna jamaa nliona kafungiwa pale karibu na DDC, kuuliza kumbe anadaiwa 70Mill sijui na benki au TRA nimesahau hata, kajaribu pale ulizia vizuri

Alaf ni mwanamke si ndio ?? Kama ni huyo nasikia ni bank babu.....kashindwa rejesha. Biashara ngumu bob kitaa hamna hela.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom