Natafuta frem/duka kwa ajili ya kuuza vifaa vya ujenzi-hardware | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta frem/duka kwa ajili ya kuuza vifaa vya ujenzi-hardware

Discussion in 'Matangazo madogo' started by CONSULT, Jun 6, 2011.

 1. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Tafadhali wana JF naomba msaada wenu kupata nafasi kwa ajili ya biashara ya hardware hasa maeneo yanayoeleweka kwa biashara hiyo DAR kama Gerezani, Kariakoo na nje kdg Mbagala, mbezi, n.k kwa kuuza cement,nondo,bati,sealing board,Hardboard,bomba, steel sheet n.k Tuma ushauri_ubunifu@operamail.com
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jaribu na kigamboni naona mji unakuwa kwa kasi sana.
   
 3. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  njo manzese nikupangishe ninayo fremu moja imedizainiwa kwa ajili hiyo na warehouse yake!
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu fremu ushapata?fremu za mitaa ya Kariakoo bei zake ni pasua kichwa!Tshs 800,000 per month!halafu wanataka ulipie kwa mwaka!
   
Loading...