Natafuta frame kubwa maeneo ya kimara karibu na barabara


ZionTZ

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Messages
1,278
Likes
251
Points
180
ZionTZ

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2009
1,278 251 180
Wakuu najua mtanisaidia mjasiliamali mwenzenu, nashida na frame nzuri kubwa kiasi angalau sqm 30 maeneo ya kimara iwe popote pale kati ya kona na kimara mwisho. Iwe katika hali nzuri, tatizo la kimara kuna vi frame uchwara vingi ambavo pia vimepigwa x na magufuli. Napenda iwe na nafasi mbele ya packing japo gari mbili kwa mpigo na pawe panaingilika.

Yeyote alie na idea ya sehem kama hiyo anitaarifu
aminia watu wangu wa nguvu.
 

Forum statistics

Threads 1,274,979
Members 490,865
Posts 30,529,417