NATAFUTA FAMILIA YA MWALIMU WANGU.

wakumwaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2018
579
422
Mimi naitafuta familia ya mwalimu wangu aliyekua akiitwa Peter mbeu magesa alifariki mwaka 2008 akiwa ni mwalimu shule moja huku babati manyara ,na kwenda kuzikwa kwao kusoma vijijini. Na baada ya mazishi ile familia haikurudi tena babati .nimeitafuta familia yake yaan mke wake,watot wake muda mrefu walau niwajulie hali zao paspo mafanikio .kama kuna mtu anaijua hii familia au mwenye taarifa nayo naomba ani pm tafadhali Sana.
 
Toa taarifa kamili kama mwaka aliofariki. Alikuwa akifundisha shule gani na masomo yapi n.k ili uweze kupata msaada mkuu
 
Mimi naitafuta familia ya mwalimu wangu aliyekua akiitwa Peter mbeu magesa alifariki mwaka 2008 akiwa ni mwalimu shule moja huku babati manyara ,na kwenda kuzikwa kwao kusoma vijijini. Na baada ya mazishi ile familia haikurudi tena babati .nimeitafuta familia yake yaan mke wake,watot wake muda mrefu walau niwajulie hali zao paspo mafanikio .kama kuna mtu anaijua hii familia au mwenye taarifa nayo naomba ani pm tafadhali Sana.
Funguka uzuri.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom