Natafuta Exhaust System ya Honda CR-V 1998

FUJISTU

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
261
93
Wakuu natafuta exhaust system ya Honda CR-V 1998 ikiwa complete, front, centre and Rear muffler pamoja na catalyst converter yake, anayeweza nielekeza pa kuipata hata kwa contacts nitashukuru sana.
 
Me nakushauri ukikosa kabisa...nunua used za Toyota yenye ukubwa sawa na hiyo honda yako...peleka kwa mafundi wataalam wanachakachua na inakaa vizuri tu bora tu injini iwe na exaust manifold ya honda...
Injini ya toyota inafungwa kwenye Isuzu,Nissan,BMW na magari mengine na chuma kinapiga kazi, sembuse exaust system...

Hakuna kinachoshindikqna kuchakachuliwa Bongo hii..
Hatari sana
 
Jaribu ilala kwenye used parts Uliza Masaku atakupa option nyingine.
Ule ushauri wa modification ni kweli kuna kijana mwarabu sijui Muba uliza hapo ilala.
Pole kiongozi
 
Nenda sweetcorner tandale kuna jamaa wamevunja honda crv za kutosha. Na wala si tatizo kuzipata. Mpigie huyu muulize kama anayo.. Alichinja honda crv 0674016629
 
Nenda sweetcorner tandale kuna jamaa wamevunja honda crv za kutosha. Na wala si tatizo kuzipata. Mpigie huyu muulize kama anayo.. Alichinja honda crv 0674016629

On it mkuu, thanks a lot
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom