Natafuta Eneo la Kukaangia Kuku na Kuuza

The Giant

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
504
96
Wakuu nimejichanga kidgo niweze kupata hela ya kula huku nakusanya mtaji kwa ajili ya kikubwa zaidi.
Ni biashara ya kukaanga na kuuza chipsi barabarani. Kuna dogo nimempata kwa ajili ya kunisaidia. Nimetafuta maeneo ya Zackeim, Ranging 3 na Kongowe ila naambiwa migambo wanawakimbiza na kuvunja meza zao.
Sasa, nilikuwa naomba Kama unaweza pata eneo lililotulia nilipie ili dogo aanze kazi. Na utaratibu wa kupata eneo ukoje.
Maeneo lengwa ni Temeke hadi Mbagala.
Asante.
 
Back
Top Bottom