Natafuta eneo la kufungua Car wash

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
5,050
5,078
Wanabodi na wadau humu ndani natafuta eneo la kufungua car washa katika maeneo yafuatayo..
1. Barabara ya Mwai Kibaki mpaka mbezi ya chini
2. Kinondoni yeyote
Na pengine popote panapofaa kwa biashara hiyo
 
Dahhh wadau wamekauka. Vp umefanikiwa lakini?
 
Kupitia uzii huu nimegundua Jf watu wanapenda sana ushambenga maana ukiuweka uzi wa kishambenga unachangiwa sana lkn weka uzi kama huu utashangaa
 
Brazaaaa. Umemaindi nini sasa?

Si bora ushkuru kutopata majibu badala ya kuambulia comments za kipuuzi.
 
Mmh hivi sio ww ulienicheki ili tukachek kinondoni kulikua na sehem tatu za kuangalia zinazoweza kufungua ila ukapotea mazima
 
Sio mimi mkuu we nichek hata sasa bado nahitaji sana tu ila bei iwe reasonable
 
Back
Top Bottom