Natafuta eneo la kufugia nguruwe

Arch Samael

New Member
Jan 23, 2020
1
1
Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku naombeni msaada wenu, hivi karibuni natarajia kuanza kufuga nguruwe nimeshafanya utafiti wa kujiridhisha na pia nimepitia threads nyingi humu kuhusiana na ufugaji wa nguruwe, natarajia kufugia mwanza je ni wapi naweza pata eneo la kununua zuri kwa ajili ya kufugia? Pengine eneo ambalo upatikanaji wa chakula wa mifugo hii utakua rahisi, natanguliza shukrani🙏🙏
 
Back
Top Bottom