Natafuta eneo la jiko la kufanyia biashara

SamuraiJack

JF-Expert Member
Dec 24, 2017
220
235
Habari za asubuhi wadau?
Natafuta eneo la jiko la kukodisha kwenye bar au eneo lolote lenye mzunguko wa watu.
Mwenye info ani PM.
 
Mbona hujasema mkoa gani ? Au popote nchini unaenda ? Hata kwa kina Muraa.. ?
 
Back
Top Bottom