Natafuta drafti kama tunalocheza Tz la android.

kwa hivyo na hizo setting nyingine zote ziwe off kama hiyo screen short maana mi sielewi kabisa mara king hairuki mara unalitega ukimpa ili umzunguuke anagoma bas tafran
Level yake ya juu kabisa ya 'professional' ikiona unaanza kuifunga, inaanza kufikiria kichizi, kuepusha isifikirie muda mrefu, nenda settings, halafu select 'Quick move input'
View attachment 509348
 
Back
Top Bottom