Natafuta Demu wa kuzaa nae

Demu ni tambara au kitambaa kilichokuwa kinatumika kufungia matiti zamani zile kabla ya ujio wa brazzie. you gat me boy
 
Mtu asiyeheshimu wanawake huwa nafikiri huenda ni hawa waliotengenezewa maabara kwenye tube...hata nguruwe jike ni demu unaweza kwenda kuzaa naye,mbilimbi wee...
 
naona ni mwendo wa kumponda mshikaji,japo hajajieleza vizuri......angekuwa mwanamke anatafuta mwanaume wa kuzaa nae...wakaka wengi wange comment haraka kuwa wata M- PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom