luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,325
- 6,868
CLOSED
Nunua kwanza boksa za kuvalia suruali zako.Utampata binti halafu akukute umevaa liboksa lichafu akutangaze mtaani.Nasisitiza:Nunua kwanza boksa za kuhifadhi maketio yako.Jaman mi mwenzenu sijui nina bahati mbaya kila demu nina yempata huwa hanaga tabia ya kuniomba omba pesa , yaani sijawahi honga manzi mm tangu nianze mahusiano yale ya usiriazi yaan nina bahati ya kupata mamanzi wafanya kazi wenzangu ambao mara nyingi sana huwa tunakopeshana pesa kisha kurejesha, hali hiyo imenifanya nijione mwenye mkosi na bahati pia. ss nimeamua nitafute manzi wa kumuhonga kama yupo humu JF bac fanya kuni PM
Wenye kuhonga huwa hawajipi promo kihivo inaonekana unahela za mawenge tu mkuu, sasa kama unakopeshana hela na wanawake mbona sijakuelewa au mna vikundi vyenu a.k.a vikoba?Jaman mi mwenzenu sijui nina bahati mbaya kila demu nina yempata huwa hanaga tabia ya kuniomba omba pesa , yaani sijawahi honga manzi mm tangu nianze mahusiano yale ya usiriazi yaan nina bahati ya kupata mamanzi wafanya kazi wenzangu ambao mara nyingi sana huwa tunakopeshana pesa kisha kurejesha, hali hiyo imenifanya nijione mwenye mkosi na bahati pia. ss nimeamua nitafute manzi wa kumuhonga kama yupo humu JF bac fanya kuni PM
Mh ndugu yangu ushawahi kulala na mm au ndio kusema umeshiba wali na maharagwe ?Nunua kwanza boksa za kuvalia suruali zako.Utampata binti halafu akukute umevaa liboksa lichafu akutangaze mtaani.Nasisitiza:Nunua kwanza boksa za kuhifadhi maketio yako.
Dah acha ubahili..Ina maana hata zawadi huwanunulii