natafuta Demu wa kumuhonga pesa

Jaman mi mwenzenu sijui nina bahati mbaya kila demu nina yempata huwa hanaga tabia ya kuniomba omba pesa , yaani sijawahi honga manzi mm tangu nianze mahusiano yale ya usiriazi yaan nina bahati ya kupata mamanzi wafanya kazi wenzangu ambao mara nyingi sana huwa tunakopeshana pesa kisha kurejesha, hali hiyo imenifanya nijione mwenye mkosi na bahati pia. ss nimeamua nitafute manzi wa kumuhonga kama yupo humu JF bac fanya kuni PM
Nunua kwanza boksa za kuvalia suruali zako.Utampata binti halafu akukute umevaa liboksa lichafu akutangaze mtaani.Nasisitiza:Nunua kwanza boksa za kuhifadhi maketio yako.
 
Nafikiri kuna watu wengi wenye huitaji kama omba omba mtaani unaweza kuwapa wao pesa kuliko kuhonga.
 
Jaman mi mwenzenu sijui nina bahati mbaya kila demu nina yempata huwa hanaga tabia ya kuniomba omba pesa , yaani sijawahi honga manzi mm tangu nianze mahusiano yale ya usiriazi yaan nina bahati ya kupata mamanzi wafanya kazi wenzangu ambao mara nyingi sana huwa tunakopeshana pesa kisha kurejesha, hali hiyo imenifanya nijione mwenye mkosi na bahati pia. ss nimeamua nitafute manzi wa kumuhonga kama yupo humu JF bac fanya kuni PM
Wenye kuhonga huwa hawajipi promo kihivo inaonekana unahela za mawenge tu mkuu, sasa kama unakopeshana hela na wanawake mbona sijakuelewa au mna vikundi vyenu a.k.a vikoba?
Kama unataka kuhonga we tembelea viwanja vikali utawapata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfanyie ata hii surprise huyo mpenzi wako sio lazima uhonge pesa taslimu baki njia kuu
9738AC31-E500-4A26-B8F0-1970DFFAB846.jpeg
 
Kipindi cha nyuma Mimi hali ilivyokuwa mbaya sana kiuchumi hadi nikatamani kuwa Mlokole(Athari ya dhiki ni chungu mithiri ya jehanamu).

Vimwana walikuwa wakinipiga mizinga mingi,Kidume natoka nduki bila kugeuza shingo.

Hakika penzi bila pesa nyakati hizi kidume utapata wakati m'gumu haswa mazingira ya Town,Patachimbika aisee.

Sasa mambo yanakwenda penye,vijihela vinatunisha jinsi.

Saizi ni Mwendo Wa kata Pochi,Mizinga siikwepi tena kama awali naipokea kwa tabasamu lenye mvuto.

Sasa hata falsafa yangu imepanda ngazi.
"VIMWANA NJOONI MNICHUNE, WABONGO ROHO ZIUME"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nunua kwanza boksa za kuvalia suruali zako.Utampata binti halafu akukute umevaa liboksa lichafu akutangaze mtaani.Nasisitiza:Nunua kwanza boksa za kuhifadhi maketio yako.
Mh ndugu yangu ushawahi kulala na mm au ndio kusema umeshiba wali na maharagwe ?
 
Back
Top Bottom