Natafuta dawa za asili za kutibu wasiwasi

Wasiwasi utatibiwa kwa dawa ikiwa utafikia kuasili mfumo wa neurotransmitter ktk ubongo wako.......Lkn kinyume cha hapo zipo mbinu nyingi za kisaikolojia zinatumika kupunguza na kumaliza tatizo hilo
 
Yangu nadhani ni neurotransmitters coz nkitumia dawa hua napata nafuu
 
mimi binafsi nna mwaka wa 3 nasumbuliwa na anxiety disorder
wakati inanianza ilinisumbua miezi mi3 nilitaka kuwa chizi. kama isingekua jf
nilikata tamaa kabisa
anxiety ilnifanya nikaona maisha machungu nikajutengenezea ugonjwa ukanisumbua mwezi mzima.
lakini wakati wote sikujua nn hasa kinanisumbua
nilijichunguza mpaka nikaja kujua chanzo ni anxiety na imeketwa na hormone imbalance nilionayo.

mkuu hata sasa inanitokea sometimes ila kwa 30% na katika muda inanitokea haiwezi kudumu kutwa nzima kwasababu nimeshajitambua ni jinsi ya kuovercome hio hali.

ila ilifika mahali mpaka pa kutaka kunywa dawa.
naogopa mpaka binadamu wenzangu.
woga na wasiwasi ulipitiliza nikawa hata mm mwenyewe sijiamini.
Ndugu zangu wanaamini nililogwa, mm naamini ilikua wasiwasi.. na tangu hapo siaminigi katika kulogwa maana niliweza kujicontrol mm mwenyewe hata sasa.

mkuu jikaze ,jutambue let things chukulia kitu chakawaida kushatukumba wengi sana. ni tatizo la saikolojia tu litaisha kazana kutafuta thread zitakazokupa muongozo humu.
Bwana awe nawe sana
 
Kwenye bangi weka bangi.kwenye yesu weka yesu
dark art ndo dark art basi tafrani

ila nakupenda hubase upande mmoja. unaangalia tiba mbadala kwa maelezo ya muhusika
sio kila kitu kinataka uchawi,na maombi mengine tuna tengeneza matatizo sisi wenyewe lazima tujitatulie bila kuhusisha pande yoyote
 
Pole mkuu. Ukiondoa njia nyingine za kitaalamu ambazo wadau wamekushauri hapo juu, unaweza kujaribu pia njia za kiroho kwa kadri ya imani yako.

Pole sana. Wasiwasi ni mtihani!
 
mimi binafsi nna mwaka wa 3 nasumbuliwa na anxiety disorder
wakati inanianza ilinisumbua miezi mi3 nilitaka kuwa chizi. kama isingekua jf
nilikata tamaa kabisa
anxiety ilnifanya nikaona maisha machungu nikajutengenezea ugonjwa ukanisumbua mwezi mzima.
lakini wakati wote sikujua nn hasa kinanisumbua
nilijichunguza mpaka nikaja kujua chanzo ni anxiety na imeketwa na hormone imbalance nilionayo.

mkuu hata sasa inanitokea sometimes ila kwa 30% na katika muda inanitokea haiwezi kudumu kutwa nzima kwasababu nimeshajitambua ni jinsi ya kuovercome hio hali.

ila ilifika mahali mpaka pa kutaka kunywa dawa.
naogopa mpaka binadamu wenzangu.
woga na wasiwasi ulipitiliza nikawa hata mm mwenyewe sijiamini.
Ndugu zangu wanaamini nililogwa, mm naamini ilikua wasiwasi.. na tangu hapo siaminigi katika kulogwa maana niliweza kujicontrol mm mwenyewe hata sasa.

mkuu jikaze ,jutambue let things chukulia kitu chakawaida kushatukumba wengi sana. ni tatizo la saikolojia tu litaisha kazana kutafuta thread zitakazokupa muongozo humu.
Bwana awe nawe sana

ok
 
Yangu nadhani ni neurotransmitters coz nkitumia dawa hua napata nafuu
Matatizo ya kisaikolojia ambayo yanatumia dawa huwa yanaenda na counseling kwa muda wa kipindi fulani sababu kichocheo cha tatizo hilo ni ktk fikra......ucsahau hilo tafuta counseling hv Cataliyya hatujawahi wasiliana kwa simu kweli?
 
Z
Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Ipo ila vuta subira nipekue makabrasha.ILABDAWA YA MWANZO KUNYWA MAJI YAKUTOSHA PUMZIKA au lala muda mrefu
 
Matatizo ya kisaikolojia ambayo yanatumia dawa huwa yanaenda na counseling kwa muda wa kipindi fulani sababu kichocheo cha tatizo hilo ni ktk fikra......ucsahau hilo tafuta counseling hv Cataliyya hatujawahi wasiliana kwa simu kweli?

Nadhani tumewahi, ntumie mawasiliano yako, ntabadilishaje fikra zangu?
 
Pole mkuu. Ukiondoa njia nyingine za kitaalamu ambazo wadau wamekushauri hapo juu, unaweza kujaribu pia njia za kiroho kwa kadri ya imani yako.

Pole sana. Wasiwasi ni mtihani!

Kiroho nshajaribu sana mkuu
 
Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?

Vipi Cataliyya ulipata tiba? Unaendeleaje?
Kuuliza ni vizuri inamaanisha unatambua kuna tatizo.
 
Angalia hii...

Tatizo/chanzo cha wasiwasi
||
Unaweza kutatua/lipo ndani ya uwezo wako
||
Hapana
||
Wasiwasi wa nini sasa kama hauwezi kulitatua.

*****************************************

Tatizo/chanzo cha wasiwasi
||
Unaweza kutatua/lipo ndani ya uwezo wako
||
Ndio
||
Wasiwasi wa nini sasa kama unaweza kulitatua.

"Dont take life too serious....no one make it alive anyway."
 
Back
Top Bottom