Its a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizoWakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Its a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizo
Je sio kuwa anaongeza tatizo lingine?bangi inaweza kutatua tatizo
Vuta bange tu..!Wakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
hahahaIts a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizo
Ukiitumia kama tiba hakuna shida kabisa...ntaipataje bangi? na bangi sio addictive?
Tujuze kwanza chanzo cha huo wasiwasi ni nini hasa. Huwezi tatua tatizo bila kujua chanzo chake