Natafuta dawa ya kuondoa Bandage kwenye kidonda

Samir7900000

Member
Jul 26, 2016
52
26
Ndugu JF jeraha langu lina siku 3 toka pamewekwa dawa na bandage, doctor aliniambia ndani ya siku 3 niitoe nilipo niko mbali na hospital na bandage imeshika imekauka kwenye kidonda, je nitumie njia IPI kuindoa bila kuumia
 
Maji safi changanya na chumvi kidogo, mwagia then anza kutoa taratibu, ukiona imeshika sana loanisha tena hadi pawe tepetepe!
 
Back
Top Bottom