Natafuta dawa inaitwa naloxone

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
242
Habari wana jf natafuta dawa hiyo hapo mimi ni muhanga wa tramadol niko dependant so dawa yaweza nsaidia ni hiyo lakini Tanzania hamna zipo kenya au uganda. ila kuna baadhi ya pharmacy zipo sasa natafuta anaejua anisaidie nizipate.
 
Naloxone bongo hamna kabisa?..Wanafanyaje sasa kupunguza opiates misuse na overdose?

Anyway,subiri maybe kuna wanaojua zinakopatikana bongo
 
Habari wana jf natafuta dawa hiyo hapo mimi ni muhanga wa tramadol niko dependant so dawa yaweza nsaidia ni hiyo lakini Tanzania hamna zipo kenya au uganda. ila kuna baadhi ya pharmacy zipo sasa natafuta anaejua anisaidie nizipate.
....lakini Tanzania hamna zipo Kenya au Uganda.

... Ila Kuna pharmacy zipo....

Anyways, check JD Pharmacy Mcity pale.
 
Habari wana jf natafuta dawa hiyo hapo mimi ni muhanga wa tramadol niko dependant so dawa yaweza nsaidia ni hiyo lakini Tanzania hamna zipo kenya au uganda. ila kuna baadhi ya pharmacy zipo sasa natafuta anaejua anisaidie nizipate.
Naloxone ni moja ya Dawa ambazo ipo kundi moja na Kina morphine..pethidine na nyingine ambazo kimsingi ni DDA group so zipo under special control!! Kupata hii dawa inauzaa kwenye pharmacy za kawaida ni ngumu.

Ushauri. Ulikuwa unakunywa tramadol ili kutibu maumivu ya nini? Je hayo maumivu umedumu kwa muda gan?? Ukinywa dawa nyingine za kawaida za maumivu inakuwaje?
 
Nilikuwa na matatizo ya tumbo sasa nikawa natumia tramadol hivi nimepona lile tumbo nimeshindwa kuiacha tramadol nikiacha nakua mgonjwa sana sana sasa nimeambiwa naloxon ndo yaweza nisaidia kuacha
 
Pole, umekuwa mrahibu. Je sober house hasina msaada kwa watu Kama wewe?
 
Nilikuwa na matatizo ya tumbo sasa nikawa natumia tramadol hivi nimepona lile tumbo nimeshindwa kuiacha tramadol nikiacha nakua mgonjwa sana sana sasa nimeambiwa naloxon ndo yaweza nisaidia kuacha
Unakuwa Mgonjwa kwa maana tumbo linauma tena au? Tramadol ni moja ya dawa za maumivu ambazo kupata addiction ni ngumu labda jambo moja ni Kuwa HUJAPONA ugonjwaa uliokuwa unaumwa sababu ulikuwa unatibu maumivu yanayotokana na ugonjwa flani so ulitibu matokeo ya Ugonjwa ndo maana maumivu bado unasikia na Dawa inayoweza kukusaidia ni Tramadol.

Ushauri tafuta dawa zinaitwa Meloxicam au FLAMA kunywa paLe utakaposikia maumivu zisipokusaidia nenda hospital sababu unachosema sio Addiction ila ni ugonjwa bado unao.
 
ugonjwa wa tumbo nimepona lkn mwili unatenheneza maumivu flan ambayo yanasumbua lkn nikimeza tramadol ndo yanaacha na nisipomeza nakuwa kama mgonjwa wa malaria ambayo ni kali ,
 
Back
Top Bottom