Natafuta dawa aina ya Misoprostol jijini Dar es Salaam

Mambo vipi wadau?

Naulizia dawa taja hapo juu nina shida nayo nipo Dar. Nimeskia haiuzwi kila pharmacy pia haiuzwi hovyo, so kama kuna mdau yupo anafanya kazi pharmacy au hospital aweze kunisaidia.

"Kwa mdau anaejua hii dawa please"

Thanks
Wee acha kufanya abortion lea hicho kiumbe
 
Back
Top Bottom