Natafuta daktari bingwa

Masanalo thanks sana bro nimekutumia mail cheki unajua sio kila saa nacheki huku kaka mambo kibao nimekupata kaka na naomba reply yale ambayo nimekuuliza kwenye hiyo mail poa bro
 
Mnakosea............yanayoulizwa humu yanawasaidia na wengine....hayo mambo ya kuuliza swali jamvini halafu majibu yaende kwenye mail...si uungwana.............otherwise na maswali muulizane huko huko mnakopeana majibu............

Confidentiality mazee!
 
Jamaa noma huyu nimempa shule hata thanks hakuna! Next time nitampa ushauri wa kumchanganya! viral nomaaaaaaaaa
.....
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
!!!

Masanalo thanks sana bro nimekutumia mail cheki unajua sio kila saa nacheki huku kaka mambo kibao nimekupata kaka na naomba reply yale ambayo nimekuuliza kwenye hiyo mail poa bro

Duuu we mshikaji mbona bahiri hivo, Mkinga nini? hako kabatani ka -senksi hukaoni?
 
Kaka/Dada Pole sana ukweli nimejisikia vibaya na huzuni baada ya kusoma ishu yako,lkn nimepata faraja baada ya kugundua kuna uwezekano wa kupata nafuu/kupona ingawaje inataka Moyo!Hapo ndio nilipo mimi sina msaada wowote wa kitaalam ila NAKUSIHI kama wengine walivyo kushauri-chonde chonde usiwaambukize wengine/kama wapo(unawafahamu) washauri mapema kabla hali haijawa mbaya-tumia kinga(kondom)kila unapokutana kimapenzi-fuata taratibu zote za matibabu kama unavyo shauriwa na Madaktari-Utafiti wa Maabara immunology mf.Muhimbili&Bugando nafikiri ni vema zaidi.Usiogope Mungu ndiye MUWEZA WA YOTE KAMA NAFSI YAKO INAKUSHAWISHI UMRUDIE MOLA WAKO KWA MAOMBI HUJACHELEWA TEKELEZA SASA!!

Tumsifu Yesu Kristu........
 
Kijana bado hujapata mtaalam tafadhari ukipona tunaomba majibu pia
pia nakupa pole sana kwa hali hiyo
 
Ndugu yangu nenda kcmc km unaweza pale idara ya dematovenereology mtafute Dr Naburi atakusaidia sana. Wamefanyia utafiti sana hizi case na wanafarmacy inayocustomize dawa kulingana na lab investigations na ndio center ya magonjwa ya zinaa na ngozi ya Africa mashariki na kati inayosimamiwa na WHO, pole sana ndugu naamini ukiwaona utasaidiwa sana. Acha madawa ya dukani bongo usanii mtupu hutapata matibabu sahihi na linazidi kuwa sugu hilo dubwasha
 
Back
Top Bottom