Natafuta daktari bingwa wa wanawake Dar es Salaam

mwepesi

Senior Member
Jan 27, 2016
156
95
Bwana yesu asifiwe wapendwa,

Napenda kuuliza.iv n wapi hapa Dar es salam nitapata daktari bingwa wa kutibu mfumo wa uzazi wa magojwa ya wanawake.

Tafadhali kama ulishawahi sikia ama ulisha ponywa naomba unielekeze niende na mke wangu tukafanyiwe uchunguzi..kama ujuavyo raha ya ndoa watoto.
 
Bwana yesu asifiwe..wapendwa..napenda kuuliza.iv n wapi hapa dar es salam nitapata daktari bigwa wa kutibu mfumo wa uzaz wa magojwa ya wanawake..tafadhali kama ulisha wahi sikia ama ulisha ponywa naomba unielekeze niende na mke wang tukafanyiwe uchunguzi..kama ujuavyo raha ya ndoa watoto.
Mungu atakutilia wepesi Mkuu.
 
Pole sana mkuu,

Nashawishika kuhisi maumivu yako kwa usiku mkubwa ulipo weka bandiko lako, kwahakika jambo hili limekua mateso kwako.
Ebu ngoja wajua mambo waamke aiseeee..
 
Bwana yesu asifiwe..wapendwa..napenda kuuliza.iv n wapi hapa dar es salam nitapata daktari bigwa wa kutibu mfumo wa uzaz wa magojwa ya wanawake..tafadhali kama ulisha wahi sikia ama ulisha ponywa naomba unielekeze niende na mke wang tukafanyiwe uchunguzi..kama ujuavyo raha ya ndoa watoto.
Binafsi nakushauri maombi na kufunga huku mkiweka Imani zenu juu hakuna linalomshindwa Bwana Amen. Roho mtakatifu awe faraja yenu kipindi hiki kigumu Amen.
 
Binafsi nakushauri maombi na kufunga huku mkiweka Imani zenu juu hakuna linalomshindwa Bwana Amen. Roho mtakatifu awe faraja yenu kipindi hiki kigumu Amen.
Neno LA MUNGU kwenye Mathayo 7:7 inasema, Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa.
Uponyaji una hatua tatu:

1. Kumuomba MUNGU akuponye (ombeni). Hapa ni imani

2. Kutafuta taarifa za tiba ya shida yako. Kutafuta wataalam etc (tafuteni) . Hapa ni swala LA mwilini, physically linanyika.

3. Nenda kwa wataalam ukapate tiba (bisheni). Ni lazima kubisha hodi kwa Dr ili akufanyie uchunguzi na kukutibu.

Kumbuka, imani bila matendo imekufa.
Usiangamie kwa kukosa maarifa ya rohoni na mwilini pia.
Ubrikiwe na uwe na siku njema
 
All the best sir, usisahahu kumkumbusha Mungu kuwa "mile kibali cha ndoa alichokisema kwenye ndoa kiko wapi?"

Refer, apataye mke apata kitu chema tena apata kibali kutoka kwa Mungu.

Kibali ni pamoja na watoto, kufanikiwa kwenye kila kitu mnachokifanya katika maisha yenu.

"May God's favor be upon you"
 
Inategemea Kama unatumia insurance ama unalipa cash. Agha Khan, regency, na tmj kuna madaktari bingwa. Kuna maria clinic, iko mbuyuni ama Ada estate, no maeneo ya namanga, cash terms. Kuna Dr mwingine naskia ni mzuri yuko Hosp ya msasani peninsula ila sina hakika Kama anatumia insurance.

All the besy
 
Nenda hospital moja inaitwa bochi Kuna daktari mmoja wa muhimbili anaitwa docta mrema I think. Huwa anapatikana kila jumamosi. Bochi ipo mbezi ya kimara shuka Kituo cha kwa msuguri kama unatumia daladala. Wahi mapema coz huwa anakuwa na watu wengi sana.
 
Fika makumbusho ulizia kwa mdebwedo muuza chipsi maarufu eneo hilo ukifoka apo kulia kwako kama unatokea makumbusho stendi au kushoto kwako kama unatokea kwa mdebwedo utaozahanati au hospitali ndogo apo kuna dokta bingwa kutoka muhimbili anapatika kuanzia saa nane ila wapo wasaidizi masaa yate wanatuunganisha na doct kwa simu na mengine yatafuata
 
Neno LA MUNGU kwenye Mathayo 7:7 inasema, Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni nanyi mtaona, bisheni nanyi mtafunguliwa.
Uponyaji una hatua tatu..
Sio kila tatizo ni la kumuona Daktari ingekuwa hivyo basi hata Sarah na Abraham wasingemmpata Isaac kwa Ummri ule . Mungu hakuumba Tasa , angeuumba Tasa asingesema enyi nendeni mkaujaze ulimwengu.

Maradhi, shida na dhiki zinatokana na shetani pamoja na dhambi . Huwezi jua kuna sehemu ambayo Kwao labda haiko sawa bila wao kujua ni vyema kufunga na maombi pia ili hayo mavitu yavunjike , kutoa sadaka na kuishi maisha ya utakatifu .
 
Sio kila tatizo ni la kumuona Daktari ingekuwa hivyo basi hata Sarah na Abraham wasingemmpata Isaac kwa Ummri ule . Mungu hakuumba Tasa , angeuumba Tasa asingesema enyi nendeni mkaujaze ulimwengu . Maradhi, shida na dhiki zinatokana na shetani pamoja na dhambi . Huwezi jua kuna sehemu ambayo Kwao labda haiko sawa bila wao kujua ni vyema kufunga na maombi pia ili hayo mavitu yavunjike , kutoa sadaka na kuishi maisha ya utakatifu .
ndio maana nikkupa Mathayo 7:7.

inaanza kwa maombi, ombeni.

Maombi huvunja NIRA zilizofungwa mabegani mwetu. Maombi ni tiba ya nguvu za muovu, maombi ni muhimu sana ndio maana ni namba MOJA.

Pia kwenda kwa madaktari ni muhimu pia.
 
Fika mbuyuni maria clinic ukakutane na prof mgaya.ananza saa tisa baada ya kutoka muhimbili lkn kama unaanza nenda saa saba!
 
Back
Top Bottom