NATAFUTA CONTAINER LA KUNUNUA 20 ft DAR

Silicon Valley

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
1,092
1,116
[h=2]NATAFUTA CONTAINER LA KUNUNUA 20 ft DAR[/h] Wakuu salama ! ! ! naomba kwa yeyote wa kunisaidia kupata container HALALI la kununua lenye Documents zote, waweza kuni PM weka na bei yake.
 
Docs unaweza kutengeneza mwenyewe! Nilinunua container lisilo na documents kwa jamaa kisha nikatengeneza mikataba iliyosainiwa na muuzaji pamoja na advocate.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom