Natafuta contacts za school of law

Mkuu, ni School of Law au Law School of Tanzania? School of Law ni vilivyokuwa vitivo vya Sheria vyuoni. Law School ni Taasisi ya mafunzo ya sheria kwa vitendo kwa Wanasheria wanaohitaji kuwa Mawakili. Law School hupokea wanasheria, yaani, ambao wana shahada ya kwanza ya sheria. Unamaanisha nini hapo Mkuu?
 
Namaanisha Law school of Tanzania, coz a graduate of LLB from Blantyre University of Malawi,,,So kwa hapa Bongo sina exposure sana na Mambo ya wap iliko hiyo Law school
 
Ipo nyuma ya Stendi ya Mabasi ya Mawasiliano pale Sinza. Fika kwenye Taasisi husika ili upate majibu ya maswali yako yote uliyonayo.
 
Panda basi la Makumbusho haya yenye mistari mekundu shuka kituo kinaitwa sinza kumekucha..nyoosha ile njia ya pale kanisani moja kwa moja,pinda kulia kata kichochoro cha kwanza moja kwa moja, utakutana na kingine kama cha hatua 20 hv utauona ukuta wa posta kushoto yake utaona geti kuu la Law School .... Na kama umepanda basi la Mawasiliano yaani Simu 2000 shuka kituo kikuu cha mabasi ya Simu 2000 yaani mawasiliano) ,Majengo meupe ya gorofa utakayoyaona nyuma ya kituo ndio Law School kwenyewe hapo sasa fanya kama unarudi kwa miguu kurudi Sinza ukishamaliza ukuta kata kushoto, nenda moja kwa moja
 
Pale hawapokei watu wenye diploma za kutoka chuo cha nyuki Tabora. Pale ili upokelewe ni lazima uwe umehitimu shahada ya sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na TCU...
Mkuu kwema !!?hichi chuo cha nyuki kipo srhemu gani hapo tabora !?he wewe ni muhadhiri pale!?
 
Mkuu, ni School of Law au Law School of Tanzania? School of Law ni vilivyokuwa vitivo vya Sheria vyuoni. Law School ni Taasisi ya mafunzo ya sheria kwa vitendo kwa Wanasheria wanaohitaji kuwa Mawakili. Law School hupokea wanasheria, yaani, ambao wana shahada ya kwanza ya sheria. Unamaanisha nini hapo Mkuu?

Umetukomboa wengi. Hata mimi nilikuwa sijui tofauti kati ya School of law na Law School!

Mimi nilikuwa najua ni interchangability of names na yote mawili yakimaanisha ile institution iliyop kwenye stendi ya mabasi SIMU2000.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom