Frero
Member
- Jul 5, 2022
- 37
- 69
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri, kwa jina naitwa Frero(nick name) ni kijana wa miaka 27 ninaishi Dar es salaam ila ni mzawa wa Arusha, kuhusu familia sina back up, naomba kupewa connections za fursa za kazi, au tenda au chochote kitakachoweza kunitoa kimaisha. Kuhusu my profile
My profile:
Nina bachelor degree of insurance and risk management kutoka chuo cha I.F.M
Nimebobea mwaswala ya sales and marketing with over two years nilipata ajira ya muda wa miaka miwili katika kampuni fulani ipo DSM industry ni FCMG(fast moving consumer goods), baada ya mkataba kuisha sikutaka kuongeza tena mkataba kwasababu ya figisu za hapa na pale na kwenda kuanzisha project yangu binafsi inayodili na marketing lakini haikufanikiwa kusimama wima kwa sababu ya lack of enough fund.
Mimi pia ni dereva niliyesoma chuo cha Veta na madaraja ni A, A2, B, D, na E.
Hivyo, wewe kama mdau wa jamii forum naomba unipe connections either nipate kazi, au tenda at least niweze ku pay bills maana naanza kuzalilika hapa mjini wadau sometimes naaza kuongea mwenyewe barabarani kitu ambacho sikuwahi kukifikiria kabisa maishani.
Simu 0743028208