Natafuta connections za fursa za kunitoa kimaisha

Frero

Member
Jul 5, 2022
37
68
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri, kwa jina naitwa Frero(nick name) ni kijana wa miaka 27 ninaishi Dar es salaam ila ni mzawa wa Arusha, kuhusu familia sina back up, naomba kupewa connections za fursa za kazi, au tenda au chochote kitakachoweza kunitoa kimaisha. Kuhusu my profile

My profile:
Nina bachelor degree of insurance and risk management kutoka chuo cha I.F.M
Nimebobea mwaswala ya sales and marketing with over two years nilipata ajira ya muda wa miaka miwili katika kampuni fulani ipo DSM industry ni FCMG(fast moving consumer goods), baada ya mkataba kuisha sikutaka kuongeza tena mkataba kwasababu ya figisu za hapa na pale na kwenda kuanzisha project yangu binafsi inayodili na marketing lakini haikufanikiwa kusimama wima kwa sababu ya lack of enough fund.

Mimi pia ni dereva niliyesoma chuo cha Veta na madaraja ni A, A2, B, D, na E.

Hivyo, wewe kama mdau wa jamii forum naomba unipe connections either nipate kazi, au tenda at least niweze ku pay bills maana naanza kuzalilika hapa mjini wadau sometimes naaza kuongea mwenyewe barabarani kitu ambacho sikuwahi kukifikiria kabisa maishani.

Simu 0743028208
 
Frero

Member
Jul 5, 2022
37
68
Sikuwa na maana kuwa naponda nilipotoka maana hata hizi skills nimezitoa nilipotoka mkuu but nimeongelea figisu ingawaje ni lugha ya mtaani kumaanisha kuwa kuna baadhi ya changamoto nilikuwa nakutana nazo ambazo sikuweza kuzikabili kwa wakati huo.
 
fogoh2

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
4,380
4,012
yani ulipata kazi ukaamua kuacha kwa ujinga wako we kweli ni jinga na hata huko utakapopata utashindwa pia
 
Bususwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
318
742
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri, kwa jina naitwa Frero(nick name) ni kijana wa miaka 27 ninaishi Dar es salaam ila ni mzawa wa Arusha, kuhusu familia sina back up, naomba kupewa connections za fursa za kazi, au tenda au chochote kitakachoweza kunitoa kimaisha. Kuhusu my profile

My profile:
Nina bachelor degree of insurance and risk management kutoka chuo cha I.F.M
Nimebobea mwaswala ya sales and marketing with over two years nilipata ajira ya muda wa miaka miwili katika kampuni fulani ipo DSM industry ni FCMG(fast moving consumer goods), baada ya mkataba kuisha sikutaka kuongeza tena mkataba kwasababu ya figisu za hapa na pale na kwenda kuanzisha project yangu binafsi inayodili na marketing lakini haikufanikiwa kusimama wima kwa sababu ya lack of enough fund.

Mimi pia ni dereva niliyesoma chuo cha Veta na madaraja ni A, A2, B, D, na E.

Hivyo, wewe kama mdau wa jamii forum naomba unipe connections either nipate kazi, au tenda at least niweze ku pay bills maana naanza kuzalilika hapa mjini wadau sometimes naaza kuongea mwenyewe barabarani kitu ambacho sikuwahi kukifikiria kabisa maishani.

Simu 0743028208
www.ramani.oi ingia hapo kuna posts za kazi nimeziona!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Chai Bora wana nafasi pia zipo mbili, Sales Representative,mikoa ya kusini na Ruvuma huko

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kimbukiko

JF-Expert Member
Apr 1, 2022
1,314
2,276
@Bususwa ubarikiwe mkuu nimeshatuma maombi
Pole mkuu jaribu kuzunguka Kwa Dar makampuni mbalimbali we nenda Tu na bahasha moja ya kaki umo unaambatanisha CV yako na vielelezo vingine vya muhimu then unamkabidhi mlinzi au secretary usimwambie ni bahasha ya kazi maana WA bongo Kwa roho mbaya hawajambo we sema nimetumwa na mtu kukabidhi Huu mzigo Kwa Hr WA kampuni ,basi then ondoka , Fanya hivyo mara Kwa mara makampuni mbalimbali kuna kampuni itatiki
 
hii mbinu nimeipenda sana mkuu, nitafanya hivyo
 
Bususwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
318
742
hii mbinu nimeipenda sana mkuu, nitafanya hivyo
Nakupa namba ya mtu wa Kampuni flani ya Majani ya Chai,pambana kimpango wako,sitaki unitaje sijui umepewa na Bususwa nimekutana nae JF,kwanza ataku disqualify hapo hapo!!

Au njoo inbox,nikupe abc,how to meet her,ofisini kwao,wale wana posts, aliniambia kama namjua mtu anayeweza fanya kazi za Sales Representative kwa mikoa ya Mtwara na Lindi (Kusini) na Ruvuma na Katavi huko!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Frero

Member
Jul 5, 2022
37
68
Nakupa namba ya mtu wa Kampuni flani ya Majani ya Chai,pambana kimpango wako,sitaki unitaje sijui umepewa na Bususwa nimekutana nae JF,kwanza ataku disqualify hapo hapo!!

Au njoo inbox,nikupe abc,how to meet her,ofisini kwao,wale wana posts, aliniambia kama namjua mtu anayeweza fanya kazi za Sales Representative kwa mikoa ya Mtwara na Lindi (Kusini) na Ruvuma na Katavi huko!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nimeku pm mkuu
 
Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,197
1,047
Unaweza endesha toyo kwa kakasi sana. pale moshi kuna ishu ya kutoa mrungi Kenya 🇰🇪 kuleta tz vijana wamejenga sana kule na vijana wanakula mrungi sana ukiingiza maini hata kilo 30 saa kumi na mbili jioni huna mzigo uwe na moyo wa chuma lakini
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom