Natafuta connection ya kazi, nina Diploma ya Elimu ya Msingi

iampizooh

Member
Sep 2, 2017
43
34
Habari wana JamiiForums,

Naitwa Peter, natafuta kazi yoyote ambayo itanisaidia kujipatia kipato Mfano hotelini, usafi, car wash na nyingine zinazofanana na hizo.
Nipo Dar es salaam Kinondoni

Elimu ni Diploma Elimu msingi. Nipo tayari kwa Kazi yoyote wapendwa au kama una makundi ya whatsapp ambayo yanatangaza Ajira basi naomba link nijiunge.

Namba ya simu 0623463055

Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom