Natafuta Complete Display ya Samsung galaxy E7 au nikiipata simu yenyewe itapendeza zaidi.

Promethazine

JF-Expert Member
Sep 6, 2017
262
260
Habari za mida.

Natafuta complete display ya samsung galaxy e7 hii ni baada ya kuvujia wino ilipodondoka, kwa hiyo nataka replace niendelee kutumia.


Ama pia ikipatikana simu yenyewe yaani galaxy e7 black colour itapendeza zaidi.


Nb: Hii simu naikubali sana ndio maana sitaki kubadilisha aina so nikipata display yake au simu yenyewe nyingine nitafurahi sana, ahsanteni
 
Back
Top Bottom