Natafuta code za namba simu za mezani za mikoa ya hapa Tanzania

Jan 7, 2017
14
2
Jamani kama mtu anajua code za namba simu za mezani za mikoa ya kadhaa hapa Tanzania, Anitumie. Au kama una kitabu cha orodha ya simu Tanzania toka shirika la simu Tanzania Tafadhali nitumie hapa.
 
Back
Top Bottom