Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,733
- 51,274
Habari ya mchana wana GT..ni matumaini yangu nyote mko salama na mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu..ninatafuta chuo ambacho ni kizuri kinachotambulika na pia kinachofundisha vizuri kiingereza kwa hapa dar.kipo sehemu gani hapa dar?ada yake ikoje?inachukua mda gani kumaliza??
Shukrani zangu za dhati ziwafikie nyote Gf.mda si mrefu sana nitaenda kufanya kazi na watu wanaoitumia hiyo lugha mda wote yaani ndo lugha yao na nikijiangalia kwa kingereza nilichonacho..mhmm hapana bado kabisa maana siwez kujiweka katika kundi la wanaojua.