Natafuta chuo kinachotoa first degree kwa nia ya mtandao(online degree programe)

FADHILIEJ

Senior Member
Nov 5, 2010
132
18
Wana JF salaam,
Kwa mda mrefu nimejaribu kutafuta chuo kinachotoa degree ya kwanza kwa njia ya mtandao lakini bil mafanikio,nilivyoweza kuvipata ni ghali sana na vyenye afadhali vinatoa masters,

Hali yangu ya kifedha sio nzuri sana na kuomba vyuo vya ndani (FULL TIME)majukumu ya kifamilia yananizuia,KWA BAHATI NZURI ninaopportunity ya kuaccess Internet free,NAOMBENI MSAADA WENU,USHAURI ETC.
 
vipi mambo nenda east coast college wao wanayo distance learning ipo maeneo ya town usoni ya nssf tower building ya blue floor ya tatu
 
Wana JF salaam,
Kwa mda mrefu nimejaribu kutafuta chuo kinachotoa degree ya kwanza kwa njia ya mtandao lakini bil mafanikio,nilivyoweza kuvipata ni ghali sana na vyenye afadhali vinatoa masters,

Hali yangu ya kifedha sio nzuri sana na kuomba vyuo vya ndani (FULL TIME)majukumu ya kifamilia yananizuia,KWA BAHATI NZURI ninaopportunity ya kuaccess Internet free,NAOMBENI MSAADA WENU,USHAURI ETC.

Unataka kusoma course zipi?
Kwa ushauri wangu, ukishindwa piga tu open kaka.
 
Najaribu kuwatafuta hawa jamaa wa east cost siwapati kwenye mtandao,unaweza kunisaidia website yao?
Thanks
 
sasa ni shule zipi uliopata kwa sasa.maybe from there we can advise u.pia how much do u want t spend for a yr for example.ciao.
 
Brother Fadhili ej.
Hapo juu umesema kuwa moja ya sababu ya kusoma online course ni kupunguza gharama.
Amini nakuambia online course ni more expensive kuliko full time.
 
Naweza kujikamua kulipa 1.2 m kwa mwaka,ikiwa na maana at least nauwezo wa kupata 100,000 kila mwezi kwa ajili ya shule,shule niliyowahi kupata ni OPEN UNIVERSITY-LONDON na ACCA,LAKINI price yao ndo inatisha,

Labda positbility ya kupata mfadhili yaweza saidia.
kama unawazo zaidi please share na kama utahitaji additional private details zinapatikana.

Asante.
 
Brother Fadhili ej.
Hapo juu umesema kuwa moja ya sababu ya kusoma online course ni kupunguza gharama.
Amini nakuambia online course ni more expensive kuliko full time.

NAKUBALIANA NA WEWE KWA 100%,LAKINI NINAAMINI KAMA NILIVYOSEMA KWA SASA KUJOIN FULL TIME NI NGUMU,HATA HIVYO IKIWA SITAPATA OPTION ITABIDI NIJIPANGE KWA MIAKA KADHAA IJAYO JAMBO AMBALO SILIPENDI,Bado nahitaji any advice on how to find solution,
 
Kaka achana na online degrees mainly kama huna first degree. Nakuomba ufikirie vitu kama Open university lakni si online. Online ni kama additional but not basic. Nenda open tena ni cheaper alaf ya uhakika kupata na inakubalika zaidi. Usiogope open sana sana kama sociology rahisi.
 
Wana JF salaam,
Kwa mda mrefu nimejaribu kutafuta chuo kinachotoa degree ya kwanza kwa njia ya mtandao lakini bil mafanikio,nilivyoweza kuvipata ni ghali sana na vyenye afadhali vinatoa masters,

Hali yangu ya kifedha sio nzuri sana na kuomba vyuo vya ndani (FULL TIME)majukumu ya kifamilia yananizuia,KWA BAHATI NZURI ninaopportunity ya kuaccess Internet free,NAOMBENI MSAADA WENU,USHAURI ETC.
Hawa nao wanatoa online degrees University of South Africa "UNISA"
 
Back
Top Bottom