Natafuta chuo kinachotoa bachelor of science in sound engineering Tanzania

Norton82

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
721
622
Habari Wakuu!
naomba kujuzwa kama hapa kwetu TANZANIA kuna Chuo Kikuu ambacho kinatoa shahada ya Sound engineering, na kama hakuna hata chenye mpango wa kutoa shahada tajwa, ahsanteni na mnakaribishwa kwa mawazo.
 
Korean culture center wanatoa certificate na diploma
 
Afadhali ili ukawasadie bongo movie kuweka sauti kwenye movie zao mana wanalalama na DAB wao lakini hawajui kasoro za picha zao!
 
Nenda TaSUBa(Taasisi ya Sana'a na Utamaduni Bagamoyo) zamani Bagamoyo College of Art
 
Back
Top Bottom