Natafuta chuo cha ualimu wa shule ya msingi (private) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta chuo cha ualimu wa shule ya msingi (private)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chaka, Feb 16, 2009.

 1. C

  Chaka Member

  #1
  Feb 16, 2009
  Joined: Nov 13, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Habari za leo wana Jamii Forum. Naomba kama kuna mtu anafahamu Chuo Chochote cha ualimu wa Shule ya Msingi anijulishe. Nahitaji kumpeleka dogo ambaye amemaliza O Level. Nitashukuru kama nitapatiwa taarifa zifuatazo;
  Jina la Chuo, Ngazi (Cheti/Stashahada), Karo na mengineyo.

  Asanteni sana.
   
 2. Piemu Esquire

  Piemu Esquire Member

  #2
  Feb 16, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muhimu kwanza asiwe chini ya Div.IV 26pts-Tanga kuna Chuo kinaitwa Ekenford,Kule Mbeya kuna chuo cha Kanisa Uyole,Dar kuna vyuo kibao, kimojawapo ni Kimara Baruti,kingine PEN- Kariakoo tena karibu na soko Kuu,Ilala,na kingine kule Mbagala,St Mary Tabata nk.Ada ilikuwa 1.2Mil. kwa mwaka hiyo ilikuwa mwaka juzi sina uhakika kama zimepanda zaidi.
   
 3. B

  Bilasho1 Member

  #3
  Sep 27, 2014
  Joined: Jul 3, 2014
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Habari zenu wanajamii.samanini naomba yoyote anaye fahamu chuo cha ualimu wa chekechea.pia na ada yake.na wanachukua kuanzia divishen ngapi.
   
 4. s

  symphorianicky Member

  #4
  Sep 27, 2014
  Joined: Sep 16, 2014
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  bukoba lutheran teachers college kinapatikana kagera kitafute kwenye net
   
 5. geniusbaraka

  geniusbaraka JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2014
  Joined: Aug 1, 2014
  Messages: 528
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
 6. S

  Shafii Dauda Member

  #6
  Sep 28, 2014
  Joined: Sep 21, 2014
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 7. mangi jr

  mangi jr JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2014
  Joined: Dec 21, 2013
  Messages: 238
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Greenbird college kipo moshi kilimanjaro, ualimu kuanzia chekechea mpaka sekondari. Nilimaliza pale mwaka jana. Ada kwa ualimu msingi ngazi ya cheti ni 3mil kwa miaka miwili lakini ada imegawanywa kwa vipindi vinne kwa mwaka.
   
Loading...