Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,551
- 45,841
Jamani naombeni msaada
Wapi nitapata mafunzo ya kutembea kwa viatu virefu?
Nahitaji darasa asap!
Wapi nitapata mafunzo ya kutembea kwa viatu virefu?
Nahitaji darasa asap!
Na wewe, mh!!!JAMANI NAOMBENI MSAADA WAPI NITAPATA MAFUNZO YA KUTEMBEA NA VIATU VIREFU ? NAITAJI DARASA ASAP!
nipo serias dearNjoo kwangu napatikana dar, muda wa mazoezi ni saa 1 jioni.
I'm not joking darling.nipo serias dear
nakuja pmI'm not joking darling.
The door is open.nakuja pm
Teh nisije nikampa experience ya kutembea magoti mbele kama mbuziHeaven Sent njoo utoe darasa.
Kuna vitu sio vya kujifunza ukubwani. Utakuja kuvunnja ankle na uzee huo hata ikipona mguu lazima upinde!Jamani naombeni msaada
Wapi nitapata mafunzo ya kutembea kwa viatu virefu?
Nahitaji darasa asap!
Wewe unajua...?Heaven Sent njoo utoe darasa.
Mie na uzee huu kutegua kiuno kisa nini!!Wewe unajua...?
Mimi ndio mtaalamu wa kufundisha nyie wazee....Mie na uzee huu kutegua kiuno kisa nini!!
Hahahaa! Sasa mpendwa nikiteguka je!!!Mimi ndio mtaalamu wa kufundisha nyie wazee....
Huwezi mpendwa mimi ni professional....Hahahaa! Sasa mpendwa nikiteguka je!!!