Natafuta chuo au sehemu ya kupata mafunzo ya UDJ

chuma jr

Member
Oct 17, 2015
88
135
Habari zenu wana jamvi lengo la kuanzisha Uzi huu ni kwamba nina tafuta ujuzi wa kutumia PIONEER vizuri ili niweze kuwa dj sasa ni wapi nitapata mafunzo hayo na pia uhakika wake wa ajira upo vipi wakuu? Msaada wenu tafadhali
 
Unataka ujuzi huku huna uhakika wa ajira??!! Hujaiona fursa kwani mpaka ukaspecify kabisa brand ya deck unayotaka kutumia..., Mathalani ukikuta another brand apart from pioneer hutagonga muziki??...
 
Habari zenu wana jamvi lengo la kuanzisha Uzi huu ni kwamba nina tafuta ujuzi wa kutumia PIONEER vizuri ili niweze kuwa dj sasa ni wapi nitapata mafunzo hayo na pia uhakika wake wa ajira upo vipi wakuu? Msaada wenu tafadhari
Nenda DIT wana Diploma ya Multimedia and Film Technology
 
Habari zenu wana jamvi lengo la kuanzisha Uzi huu ni kwamba nina tafuta ujuzi wa kutumia PIONEER vizuri ili niweze kuwa dj sasa ni wapi nitapata mafunzo hayo na pia uhakika wake wa ajira upo vipi wakuu? Msaada wenu tafadhali

Upesi sana mtafute DJ ' aliyetukuka ' kabisa nchini Tanzania Freeman Alkaeli Mbowe atakusaidia na utafanikiwa mno Mkuu.
 
Back
Top Bottom