natafuta chumba self maeneo ya sinza ya mlimani city, kwa kakobe au savei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta chumba self maeneo ya sinza ya mlimani city, kwa kakobe au savei

Discussion in 'Matangazo madogo' started by utukufu, Sep 26, 2011.

 1. u

  utukufu Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  wadau mambo vp?? Kama kuna mdau yoyote anaeweza kunisaidia hapo kuhusu chumba hicho tafadhali anisaidie,,, mimi ni mwanafunzi wa uclas, naomba kama kuna mwenye chumba kizuri self contained chenye maji na umeme, natanguliza shukrani za dhati
   
 2. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mkuu, chumba kizuri self contained chenye maji utapata, hofu yangu iko hapo kwenye red (hii bidhaa imekuwa adimu sana hapa bongo)!! Sikukatishi tamaa ila waweza kuwaulizia madalali, ingawa shughuli yao ni pevu! HINT: Pale DDC MLIMANI, jana niliona kuna kibao (tangazo) lisemalo kuwa madalali wa nyumba, vyumba, n.k. wanapatikana hapo! Nenda kawaone watakupa mpango mzima. Ukifanikiwa usisahau kurudisha senks!
   
 3. u

  utukufu Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  kabla ya yote hata kukipata natanguliza senks zangu za dhati mkuu,,,,ntafuatilia hizo namba za simu hapo jioni hii ni jiaribu kuona ntafikishana nao wapi,,,,, kuhusu ilo swala la umeme mkuu, umeongez point sana,, ila kuna line moja ya savei inayoenda mpaka chuo kikuu, huwa haina mgao,, ningepata chumba maeneo hayo ningefurahi sana
   
 4. serio

  serio JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  mkuu,am in search of the same, ukipata usisite kunijulisha ili nifuatilie.,SENKSI.!!
   
Loading...