Natafuta chumba cha kushare (nichangie rent)

EdwardC8

Senior Member
Nov 2, 2017
181
257
Hi all,

Natafuta kijana mwenzangu mwenye chumba / geto tushee. Mpango wa kupanga mwenyewe ninao baada ya mwezi 1 au 2.
Uwezo wangu kwa sasa ni kulipa kodi na gharama zingine kwa wiki au mwezi, bado sina Kodi ya miezi 3 au 6.

Ndio nimeanza kazi so hata mkopo bado sijaqualify. So kama una geto lako hapa Dar basi nikaribishe tusaidiane maisha. Eneo lililo karibu na city centre/mjini k.v. Ilala, magomeni, chang'ombe itapendeza.

Njoo PM
 
Hizi ni dalili za ushoga, acha kujilegeza mtoto wa kiume utaliwa hapa mjini gangamala lala hata kwenye maboksi sio kuanza kufikiria kulala kwa mwanaume mwenzako. Vijana wa siku hizi sijui mpoje?????????
 
Hhahahaha umemaliza kila kitu mkuu

Atazamwe kwa jicho la tatu huyu kijana
kazi gani anayofanya ashindwe kulipa pango
 
Hi all,

Natafuta kijana mwenzangu mwenye chumba / geto tushee. Mpango wa kupanga mwenyewe ninao baada ya mwezi 1 au 2.
Uwezo wangu kwa sasa ni kulipa kodi na gharama zingine kwa wiki au mwezi, bado sina Kodi ya miezi 3 au 6.

Ndio nimeanza kazi so hata mkopo bado sijaqualify. So kama una geto lako hapa Dar basi nikaribishe tusaidiane maisha. Eneo lililo karibu na city centre/mjini k.v. Ilala, magomeni, chang'ombe itapendeza.

Njoo PM
Una mpango wa kupanga mwezi wa 1 au wa 2. Sasa mwezi wa kwanza si wiki mbili zijazo kwanini usikae hapo ulipo hadi huo mwezi wa kwanza?
 
Hizi ni dalili za ushoga, acha kujilegeza mtoto wa kiume utaliwa hapa mjini gangamala lala hata kwenye maboksi sio kuanza kufikiria kulala kwa mwanaume mwenzako. Vijana wa siku hizi sijui mpoje?????????
Vipi kuhusu huduma muhimu za kibinadamu? Kazi yangu natakiwa kuwa nadhifu ofisini, hivyo siwezi kulala kwenye maboks. Asante kwa maoni.
 
Hi all,

Natafuta kijana mwenzangu mwenye chumba / geto tushee. Mpango wa kupanga mwenyewe ninao baada ya mwezi 1 au 2.
Uwezo wangu kwa sasa ni kulipa kodi na gharama zingine kwa wiki au mwezi, bado sina Kodi ya miezi 3 au 6.

Ndio nimeanza kazi so hata mkopo bado sijaqualify. So kama una geto lako hapa Dar basi nikaribishe tusaidiane maisha. Eneo lililo karibu na city centre/mjini k.v. Ilala, magomeni, chang'ombe itapendeza.

Njoo PM
Nyie vijana wakutoka mikowani mnataka kutupa ubaya sasa
Wewe ni Me au Ke?
 
Hi all,

Natafuta kijana mwenzangu mwenye chumba / geto tushee. Mpango wa kupanga mwenyewe ninao baada ya mwezi 1 au 2.
Uwezo wangu kwa sasa ni kulipa kodi na gharama zingine kwa wiki au mwezi, bado sina Kodi ya miezi 3 au 6.

Ndio nimeanza kazi so hata mkopo bado sijaqualify. So kama una geto lako hapa Dar basi nikaribishe tusaidiane maisha. Eneo lililo karibu na city centre/mjini k.v. Ilala, magomeni, chang'ombe itapendeza.

Njoo PM
Kuna mfuko wa hifadhi ya jamii, ukianza tu kazi wanakupa mkopo, jaribu kuulizia.
 
Hi all,

Natafuta kijana mwenzangu mwenye chumba / geto tushee. Mpango wa kupanga mwenyewe ninao baada ya mwezi 1 au 2.
Uwezo wangu kwa sasa ni kulipa kodi na gharama zingine kwa wiki au mwezi, bado sina Kodi ya miezi 3 au 6.

Ndio nimeanza kazi so hata mkopo bado sijaqualify. So kama una geto lako hapa Dar basi nikaribishe tusaidiane maisha. Eneo lililo karibu na city centre/mjini k.v. Ilala, magomeni, chang'ombe itapendeza.

Njoo PM
Ungekua unaweza kukaa pemebezoni mwaka mjini ningekuunganisha na jamaa yangu anaishi nyumba nzima mwenyewe (ukonga)
 
Hi all,

Natafuta kijana mwenzangu mwenye chumba / geto tushee. Mpango wa kupanga mwenyewe ninao baada ya mwezi 1 au 2.
Uwezo wangu kwa sasa ni kulipa kodi na gharama zingine kwa wiki au mwezi, bado sina Kodi ya miezi 3 au 6.

Ndio nimeanza kazi so hata mkopo bado sijaqualify. So kama una geto lako hapa Dar basi nikaribishe tusaidiane maisha. Eneo lililo karibu na city centre/mjini k.v. Ilala, magomeni, chang'ombe itapendeza.

Njoo PM
Du
 
Hizi ni dalili za ushoga, acha kujilegeza mtoto wa kiume utaliwa hapa mjini gangamala lala hata kwenye maboksi sio kuanza kufikiria kulala kwa mwanaume mwenzako. Vijana wa siku hizi sijui mpoje?????????
hahaha nimecheka kama kichaa hahahaha jf bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom