Hi all,
Natafuta kijana mwenzangu mwenye chumba / geto tushee. Mpango wa kupanga mwenyewe ninao baada ya mwezi 1 au 2.
Uwezo wangu kwa sasa ni kulipa kodi na gharama zingine kwa wiki au mwezi, bado sina Kodi ya miezi 3 au 6.
Ndio nimeanza kazi so hata mkopo bado sijaqualify. So kama una geto lako hapa Dar basi nikaribishe tusaidiane maisha. Eneo lililo karibu na city centre/mjini k.v. Ilala, magomeni, chang'ombe itapendeza.
Njoo PM