Natafuta chumba cha kupanga sinza

DearJohn

Member
Mar 23, 2011
33
5
wanajanvi hivi karibuni nimepata kazi maeneo ya sinza hivyo ina nilazimu kuhamia maeneo ya sinza ili niwe karibu na kituo changu cha kazi, chumba kisizidi 50,000/Tsh. na kama ni chumba na sebure visizidi 60,000 naombeni msaada wenu. mawasiliano yangu ni 0653929491 ama kadidi123@yahoo.com
 
Back
Top Bottom