Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Ukipata Self Modeko, nenda kaishi huko. Nilipapenda kwa kuwa hakuna shida ya Maji na umeme. Niliishi miaka 2 bila shida.
But, usipelekwe Chamwino, Mafiga na uswahilini. Utajuta.
Forest kwa bajeti yako hiyo hupawezi. Tafuta dalali akusaidie

Thanks mkuu huko modeko ndio pawe kipaumbele kwani ni mbali na mjini ??
 
hahahha kwa ubora wako mamy!una guts sana za kukaa samaki samaki! mie napaona pakiwindaji eti??au ushamba! binafs ht ningekuwa alone pale pagumu jaman!mie jiwe langu black n whte au moro hotel basi! tena kwa nadra sanaaa!
Pale pameharibiwa na watoto wa mama amina

Hata wastaarabu mnachukuliwa mnauza.

Black an white so classic.
 
Unavyoifikiria Moro si kihivyo.... Moro imeshaanza kushika kasi kwa gharama ya nyumba za kupangisha...kwa laki utapata hata nyumba lkn si kwa maeneo ya forest,kilakala juu,bong'ola, kigurunyembe juu,kola Hill au Liti.... Jipange kisawasa maana Moro ni centre ya D'salaam na Dodoma na mikoa ya kusini na hasa awamu hii ya tano kuhamishia makao makuu Dodoma.
 
Thanks mkuu huko modeko ndio pawe kipaumbele kwani ni mbali na mjini ??
Si Mbali na Mjini kwa daladala ni 400 mpaka stand. Kwa boda ni buku maximum 2000 nyakati za usiku. Mji ule haona foleni za magari.

Lakini pia itategemea na ofisi zako zilipo hivyo umbali inategemea unazungumzia kutokea wapi.
 
Haha nilipozuru ule mji pale kwenye swimming la hapo mahali Moro hotel nilibahatika kupata hiyo rangi nikasafisha nyota.
black n white ipo mitaa gani? Watu tusio wa viwanja utatujua tuu
 
Back
Top Bottom